Psalms 72:12-14


12 Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia,
aliyeonewa asiye na wa kumsaidia.

13 aAtawahurumia wanyonge na wahitaji
na kuwaokoa wahitaji kutoka mauti.

14 bAtawaokoa kutoka uonevu na ukatili,
kwani damu yao ni ya thamani machoni pake.

Copyright information for SwhKC